Trending Feed
12 posts loaded

DHANA YA CHAI YA TANZANIA HAINYWEKI DUNIANI NI UONGO-WAZIRI BASHE Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema Kuwa dhana ya kwamba chai ya Tanzania hainyweki Duniani ni uongo Mhe. Bashe ameyazungumza hayo leo April 8,2025 jijini Dodoma katika mkutano Mkuu wa wadau wa tasnia ya chai Tanzania Mhe. Bashe amesema kuwa amefanya uchunguzi Kwa kuwatuma watu wake ambapo amebaini watu wanahitaji chai ya Tanzania lakini iliyo Bora na sio makapi Aidha Mhe. Bashe ametoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Bodi ya chai Tanzania Beatrice Banzi na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Abdulmajid Nsekela pamoja na wadau Kuwa wasiende kwake na hoja hiyo ya kuwa chai ya Tanzania hainyweki Dunia kwani utafiti alioufanya una mashiko kuwa bidhaa hiyo inapendwa Duniani cc: @carlosngonya #WasafiDigital

المصادر 1. DeXpose.io 2. Hackmanac (X / Twitter) 3. Ransomware.live 4. Security Check-in Newsletter 5. CloudSEK (لي dar l’analyse dyal credibility dyal Bashe

WAZIRI WA KILIMO, MHE. HUSSEIN BASHE (MB), AZUNGUMZA KUHUSU TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE ZAO LA PARACHICHI. #MkutanoMkuuParachichi

Bashe ternyata meminta 5 Bitcoin atau Rp. 7.6 milyar rupiah dan akan menyebarkan data yg bocor jika tuntutannya tidak dipenuhi. Bashe klaim memiliki data dan mampu masuk ke infrastruktur bank untuk memindahkan dana antar akun dan menarik dari tempat lain. Apakah data akan dibagikan pada pukul 16.00, 23 Desember 2024 seperti batas waktu yg diberikan oleh Bashe ? Kita tunggu saja. #bashe #ransomware

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini mkoani Tabora kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe amesema Tanzania kwa mara ya kwanza imeweka historia ya kuuza zaidi ya tani 80,000 za sukari nje ya nchi huku akieleza kuwa zaidi ya dola milioni 72 za Marekani zimepatikana baada ya mauzo hayo. Bashe amebainisha hayo leo Oktoba 16, 2025 wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Bashe ameeleza kuwa rekodi hiyo ya mauzo ya sukari imetokana na juhudi kubwa alizoweka Dkt. Samia katika kuboresha sekta ya uzalishaji sukari nchini akifafanua kuwa miaka miwili iliyopita Dkt. Samia alikipa Kiwanda cha Sukari cha Kagera eneo ili kifanye utanuzi wa mashamba ya miwa. Ameongeza kuwa hatua hiyo imesaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji sukari kutoka tani elfu 90 kwa mwaka wakati Dkt. Samia akiingia madarakani hadi tani 150,000 kwa sasa huku akieleza kuwa miaka miwili ijayo Mkoa wa Kagera utaongoza katika uzalishaji wa sukari nchini. Aidha, amewaomba watanzania kumpa tena ridhaa ya kuongoza Serikali Dkt. Samia ili aweze kuendelea kuboresha zaidi sekta hiyo kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa.

Bashe wahed l’groupe dyal lhacker hjmo 3la @maroctelecom @2mtv & IRES o khdaw kter men 30 géga dyal data… chno kigol l9anon f hadchi? 💻⚖️

Mame bashe ho Murali.. 🥰🥰🥰🥰🥰🥰#trendingreelsvideo❤️ #music #love . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #dance #music #dancer #love #party #hiphop #dj #dancers #dancing #ballet #art #viral #explorepage #fun #dancelife #instagram #explore #instagood #fitness #photography #tiktok #trending #dancersofinstagram #choreography #like #follow#mainpuri♥️😇

DODOMA: Akizungumza kwenye Maonyesho ya Nanenane Kitaifa, leo Agosti 8, 2025, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya Watia nia wa Ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM) wakishambulia mifumo iliyopo kwa mujibu wa Sheria na Ilani ya Chama. Amesema “Ni hatari sana Mhe. Rais kuingiza Siasa ya kutafuta Kura kwa muda mfupi wakati wa Uchaguzi wakati huohuo unaua mfumo unaojenga uchumi wa nchi.” Tembelea JamiiForums.com kushiriki kwenye mjadala huu. LIKE IT? REPOST IT! 🔃 | UMEIPENDA? RIPOSTI! 🔃 #JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #UchaguziMkuu2025 #Democracy

KAGERA: MGOMBEA ubunge Jimbo la Nzega Mjini kupitia CCM, Hussein Bashe amesema maamuzi yaliyotolewa na mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Cha Mapinduzi ( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan ya kuisimamia sekta ya sukari na kuifanya kuwa sekta inayohudumia wananchi yameleta faida kubwa katika sekta hiyo. Bashe ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16, 2025 akiwa kwenye mkutano wa kampeni za mgombea huyo Mjini Bukoba mkoani Kagera. - Imeandaliwa na Antipas Kavishe - #HabarileoUPDATES #Ujanjanikupigakura #kurayakomaishayako #uchaguzi2025

وقتِ هر ملت میرسه، برای فتح بر ذلت. ميرسيم ما زود 💪🏽👑 Yademoon Bashe - Spotify , YouTube

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemhakikishia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wakulima ambao awali walikuwa wakinufaika na Bwawa la Mkomazi toka miaka ya nyuma kabla ya uendelezaji wa bwawa hilo kuanza, watapatiwa maeneo mengine ambayo ni ndani ya mradi huo pale bwawa litakapokamilika. Bashe ameyasema hayo alipokuwa akimkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi wa Korogwe waliokusanyika eneo la Mradi wa Bwawa la Mkomazi leo Februari 24, 2025 wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tanga. Aidha, Bashe amesema mchakato wa kuwapatia ardhi umeshaanza na kwamba pale bwawa hilo litapokamilika wakazi wa milimani watafaidika kama ilivyo kwa wakazi wa bondeni watakavyofaidika kwani wote watapata haki sawa katika mgawanyo wa ardhi ya kulima. ✍️ @marikiadrina #tbconline #tbcupdates #tbcdigital #tbcdodoma #tbcarusha
Top Creators
Most active in #bashe
Reels Graph Intelligence.
Advanced mapping of high-affinity Instagram Reels semantic patterns identified within the #bashe ecosystem.
Strategic Implementation
Our semantic engine has identified these specific pattern clusters as high-affinity matches for #bashe. Integrated usage of #bashe with strategic Reels tags like #chocolate bash albany photos and #bash heartstopper is statistically linked to a significant increase in initial Reels discovery velocity.
In-Depth Hashtag Analysis: #bashe
Expert Review • June 4, 2026 • Based on 12 Reels
Executive Overview
#bashe is an actively used Instagram hashtag. Across the 12 trending reels analyzed on this page, the content has accumulated a combined total of 1,186,327 views— demonstrating strong content velocity within this content vertical. The top creator ecosystem features 8 notable accounts, led by @erfanpaydar with 661,863 total views. The hashtag's semantic network includes 100 related keywords such as #chocolate bash albany photos, #bash heartstopper, #flower bashing for wedding, indicating its position within a broader content cluster.
Viewership & Reach Analysis
The 12 reels in this dataset have generated a combined 1,186,327 views, translating to an average of 98,861 views per reel. This strong average viewership suggests healthy algorithmic distribution. Reels using this hashtag are reliably reaching audiences interested in this niche.
The highest-performing reel in this dataset received 661,863 views. This viral outlier performance is 669% of the average reel performance in this set. This significant gap between the top performer and the average highlights the "viral lottery" nature of this hashtag — breakout hits can achieve massive scale.
Content Overview & Top Creators
The #bashe ecosystem is dominated by short-form video content (Reels), aligning with Instagram's algorithmic preference for video-first distribution. There are 8 distinct accounts contributing to the trending feed. The top creator, @erfanpaydar, has contributed 1 reel with a total viewership of 661,863. The top three creators — @erfanpaydar, @kasmihaytham, and @jamiiforums — together account for 86.2% of the total views in this dataset. The semantic network of #bashe extends across 100 related hashtags, including #chocolate bash albany photos, #bash heartstopper, #flower bashing for wedding, #mohammad rizwan big bash league. Creators often use these tags together to reach overlapping audiences.
Discoverability & Reach Potential
The discoverability metrics for #bashe indicate an active content ecosystem. The average of 98,861 views per reel demonstrates consistent audience reach. For creators using #bashe, posting consistently with trending audio and relevant angles will help you get noticed.
Analyst Verdict
#bashe demonstrates the hallmarks of a steadily growing Instagram hashtag. With an average of 98,861 views per reel, the viewership metrics position this hashtag as a reliable reach driver. Creators like @erfanpaydar and @kasmihaytham are leading the charge, setting viewership benchmarks for the community.
Frequently Asked Questions
Everything about #bashe on Instagram
Global Reels Trends
Explore high-velocity Instagram Reels hashtags currently shaping global discovery.











