Experience full platform power on your desktop or through our specialized discovery engine.

v2.5 StablePikory 2026
Discovery Intelligence

#Kongo Tv

Total Volume
Discovery Velocity
Steady
Initial Sampling
12 Items
Related Patterns:
Hashtag StatsBased on recent activity
Total Posts
Avg. Views
2,040
Best Performing Reel View
6,592 Views
Analyzed Creators
12
Performance Context
Initial Batch12 reels analyzed

Trending Feed

12 posts loaded

VIDEO:

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa Wiza
3,700

VIDEO: Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa Wizara ya Kilimo itashirikiana kwa karibu na Wizara ya Mipango na Uwekezaji ili kuhakikisha uwekezaji unaofanyika nchini unaleta tija halisi kwa wananchi na kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa. Chongolo ametoa kauli hiyo Wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, wakati wa ziara ya kutembelea Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa. Amesisitiza kuwa huu ni wakati muafaka kwa Tanzania kuongeza kasi ya kukuza uchumi kupitia sekta ya kilimo na viwanda vinavyoongeza thamani ya mazao ya kilimo. Aidha, ameongeza kuwa Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imejipanga kuimarisha uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara, kwa lengo la kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa chakula, ikiwemo sukari kama sehemu muhimu ya mkakati huo. Waziri Chongolo amebainisha kuwa ushirikiano kati ya wizara hizo mbili utasaidia kuvutia uwekezaji wenye tija, kuongeza ajira, na kuimarisha mchango wa sekta ya kilimo katika pato la taifa.

Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb), amewataka wakul
529

Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb), amewataka wakulima wa mazao ya viungo kuongeza tija ya uzalishaji kwani Wizara kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), inatafuta masoko kwa mazao hayo kuweza kuhakikisha yanauzika ndani na nje ya nchi. Mhe. Waziri Chongolo amesema hayo tarehe 15 Februari 2026 wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Tanga.

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo (Mb), amewataka wakulima w
6,301

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo (Mb), amewataka wakulima wa mazao ya viungo kuongeza tija ya uzalishaji kwani Wizara kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), inatafuta masoko kwa mazao hayo kuweza kuhakikisha yanauzika ndani na nje ya nchi. Chongolo amesema hayo tarehe 15 Februari 2026 wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Waziri Mkuu katika Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Tanga.

#michuzitv_updates:-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba,atarajia kuw
638

#michuzitv_updates:-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba,atarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa Afrika wa Matumizi endelevu ya Zana za Kilimo (ACSAM),uliopangwa kufanyika Februari tatu hadi sita mkoani Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dodoma,Waziri wa Kilimo Daniel Chongolo amesema lengo la mkutano huo ni kutoa jukwaa kwa wadau kubadilishana uzoefu, kuimarisha ushirikiano, na kuharakisha matumizi ya zana na teknolojia za kisasa za kilimo kwa ajili ya mageuzi endelevu ya sekta ya kilimo nchini na Barani Afrika kwa ujumla. Chongolo amesema mkutano huo unatarajia kujumuisha watu 1,500 kutoka nchi mbalimbali za Afrika,wakiwemo Mawaziri wa Kilimo,wadau wa sekta ya kilimo,wakulima pamoja na viongozi waandamizi wa Kanda kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO). Pampja na hayo Chongolo amwsema siku hiyo Waziri Mkuu Nchemba atazindua Awamu ya pili ya Mkakati wa Taifa wa Zana za Kilimo (National Mechanization Strategy Phase Two 2026-2035),ambao utakuwa mwongozo mkuu wa kuongeza tija katika sekta ya kilimo kupitia matumizi ya kisasa ya teknolojia. Chongolo ametoa wito kwa wadau wote wa sekta ya kilimo, taasisi za umma na binafsi, pamoja na wananchi kwa ujumla, kufuatilia na kushiriki kikamilifu katika mkutano huu muhimu kwa maendeleo ya kilimo Barani Afrika. @wizara_ya_kilimo

Mbunge wa Jimbo la Kakonko, Allan Mvano (@mvanoalan), jana k
6,592

Mbunge wa Jimbo la Kakonko, Allan Mvano (@mvanoalan), jana katika Kikao cha Tano cha Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 amehoji Serikali kuhusu mikakati yake kupitia Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, katika kuinua bei ya zao la muhogo na kupanua masoko yake ndani ya Wilaya ya Kakonko. Mhe. Allan amesema kuwa bei ya zao hilo imeshuka kwa kiwango kikubwa kutoka kati ya TZS 800–1,000 hadi kufikia TZS 200–250 kwa kilo, hali inayowaathiri wakulima wa muhogo wilayani humo. Hivyo, aliitaka Serikali kueleza mpango wake mahsusi wa kurejesha na kuimarisha bei ya zao hilo. Akitoa ufafanuzi bungeni jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, amesema Serikali inaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wakulima, ikiwa ni pamoja na kujenga soko maalum la zao la muhogo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, hatua inayolenga kuongeza fursa za masoko na kuinua thamani ya zao hilo. ✍🏽 | #kidu_works #7mediaupdates

TPHPA kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
467

TPHPA kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kusajili kampuni 408 za Tanzania katika mfumo wa Mamlaka Kuu ya Forodha ya China (GACC), hatua inayofungua rasmi fursa za kusafirisha mazao ya kilimo kwenda soko la China, ambapo Mkurugenzi wa TPHPA Profesa Joseph Ndunguru amesema mafanikio hayo ni ushindi mkubwa kwa taifa kwani yataongeza thamani ya mazao ya kilimo, kupanua masoko ya nje, kuongeza kipato cha wakulima na kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi kupitia biashara ya kimataifa.

Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa zana endelev
545

Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa zana endelevu za kilimo Afrika yaani "Africa Sustainable Agricultural Mechanization" utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia februari 3 hadi 6, 2026 utakaokwenda sambamba na uzinduzi wa mkakati wa Taifa wa zana za kilimo, awamu ya pili ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba anatarajia kuwa mgeni rasmi Akizungumzia mkutano huo mbele ya waandishi wa jijini Dar es salaam RC Chalamila amesema mkutamo huo unafanyika kwa ushirikiano wa Wizara ya kilimo nchini Tanzania na shirika la chakula na kilimo la umoja wa mataifa FAO ambao utatoa fursa ya kubadilishana uzoefu, kuimarisha ushirikiano na kuharakisha juhudi za matumizi ya zana za kilimo kwa ajili ya mageuzi endelevu ya kilimo nchini na Afrika kwa ujumla Aidha RC Chalamila ameongeza kuwa kupitia mkutano huo Waziri mkuu Dkt Mwigulu Nchemba anatarajia kuzindua mkakati wa Taifa wa zana za kilimo awamu ya pili ambao utakuwa ndiyo muongozo mkuu wa kuongeza tija nchini kupitia tekinolojia za kisasa za kilimo, mkutano ambao utahudhuriwa na Mawaziri wa kilimo kutoka nchi mbalimbali za Afrika na wadau wa kilimo ikiwa ni miongoni mwa juhudi za Rais Dkt Samia kuimarisha kilimo kwa masilahi mapana ya Umma. Kwa upande wa Mwakilishi mkazi wa shirika la kimataifa la chakula na kilimo FAO Charles Tulai amesema mkutano huo ni muhimu ili kuwezesha nchi za Afrika kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya tabia ya nchi na ongezeko la watu ambapo Tanzania imetajwa kuwa ni sehemu bora ya kufanyia mkutano huo huku vijana wakitajwa kama nguvu kazi muhimu kwenye kilimo

Mawaziri wawili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzan
111

Mawaziri wawili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, na Waziri wa Kilimo Daniel Chongolo wametembelea Kiwanda cha Sukari Mkulazi mkoani Morogoro na kuipongeza bodi ya kiwanda cha sukari kwa usimamizi mzuri. Wakizungumza na menejimenti ya kiwanda hicho baada ya kupokea taarifa ya uzalishaji, mawaziri hao walieleza kuridhishwa na uwekezaji na usimamizi wa kiwanda hicho, wakisisitiza umuhimu wa kuongeza uzalishaji. Prof. Kitila amesema kwa sasa nchi inaagiza takribani tani 300,000 za sukari ya viwandani kila mwaka, hali inayosababisha matumizi makubwa ya fedha za kigeni. Kwa upande wake, Waziri wa Kilimo Daniel Chongolo amesema uamuzi wa Mkulazi kuanza kuzalisha sukari nyeupe ya viwandani ni hatua muhimu katika kuimarisha sekta ya viwanda na kilimo. Ametoa wito kwa wawekezaji, wakiwemo taasisi za hifadhi ya jamii kama NSSF, kuendelea kuwekeza katika viwanda vya sukari kutokana na fursa kubwa iliyopo ya mahitaji ya bidhaa hiyo ndani na nje ya nchi. Naye Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amesema kiwanda cha Mkulazi ni miongoni mwa miradi muhimu inayochochea ukuaji wa uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla. Amepongeza menejimenti ya kiwanda hicho kwa utekelezaji mzuri wa mipango yao inayosaidia kupunguza tatizo la uhaba wa sukari nchini. KARIBU UTUZOE Sikiliza Abood FM: 88.3 Morogoro | 98.9 Mbeya | 101.7 Dar | 106.9 Dodoma Tazama zaidi kwenye YouTube 🎥 ABOODMEDIA TZ Na Tutazame kupitia Kisimbuzi cha Azam Tv nenda Other Channel | Startimes Channel Na. 109 kama ABOOD TV PLUS #AboodDigital

#Unlocked: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Calbert John Chala
1,996

#Unlocked: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Calbert John Chalamila, amewakaribisha wadau wa kilimo na biashara kujitokeza kwa wingi kushiriki na kunufaika na fursa mbalimbali zitakazowasilishwa katika mkutano mkubwa wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO). Mkutano huo unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 3 Februari, jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Johari Rotana, na unalenga kuwakutanisha wadau kutoka sekta za kilimo, biashara na maendeleo kwa ajili ya kubadilishana uzoefu, kujadili mikakati ya kukuza uzalishaji, pamoja na kufungua milango ya ushirikiano na uwekezaji. Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa, mkutano huo ni fursa muhimu kwa wafanyabiashara, wakulima na wawekezaji kujifunza, kuunganisha nguvu na kunufaika na programu mbalimbali za maendeleo zinazoratibiwa na FAO kwa kushirikiana na Serikali. Aidha, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano huo, jambo linaloonesha uzito na umuhimu wa tukio hilo kwa maendeleo ya sekta ya kilimo na uchumi kwa ujumla. Wadau wote wametakiwa kutumia fursa hiyo muhimu kwa ajili ya maendeleo endelevu ya kilimo na biashara nchini. #Bongounlocked

RC Makame amesema kuwa ujumbe huu wa kidiplomasia umefanyika
2,564

RC Makame amesema kuwa ujumbe huu wa kidiplomasia umefanyika chini ya maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Nchi — Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mheshimiwa Hakainde Hichilema, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Zambia. Amesema Mkoa Songwe unatoa shukrani za dhati kwa uongozi wao wa maono na dhamira thabiti ya kuimarisha ushirikiano na maendeleo yanayomlenga mwananchi, jambo ambalo limeendelea kuimarisha uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na Zambia pamoja na kukuza ustawi wa kikanda. RC Makame amesisitiza kuwa Mkoa wa Songwe ni miongoni mwa maeneo ya kimkakati yanayochochea uchumi wa taifa, huku ukuaji wa shughuli za kiuchumi ukiimarisha ustawi wa wananchi na kuendeleza ushirikiano wa kikanda na kimataifa. Aidha, amewapongeza Mawaziri kutoka Tanzania na Zambia kwa kukutana kujadili na kutafuta suluhu za changamoto zinazojitokeza, hususani katika eneo la mpaka wa Tunduma, ambako kasi ya ukuaji wa biashara imeambatana na changamoto mbalimbali. Ameeleza kuwa uwepo wa viongozi hao ni ishara ya urafiki wa kudumu kati ya mataifa haya mawili na kichocheo cha mageuzi ya kiuchumi na kijamii. Kwa niaba ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, RC Makame ameahidi ushirikiano kamili katika kutekeleza maazimio yote yatakayokubaliwa, pamoja na kuendeleza ushirikiano na wenzao wa Muchinga Province kupitia mikutano ya ujirani mwema ili kurahisisha usafirishaji na biashara kati ya nchi hizi mbili rafiki. #kazinaututunasongambele🇹🇿💪 #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 #kazinaututunasongambele🇹🇿💪 #kazinaututunasongambele🇹🇿💪 #kaziiendelee🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

Serikali imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mch
973

Serikali imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kuendelea kutoa elimu kwa wakulima kuhusu mbinu bora za kuzuia mianya ya upotevu wa mazao, hali inayochangia kupunguza kipato na tija katika sekta ya kilimo. ‎ Akizungumza kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Region wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa maafisa ugani yaliyoandaliwa na COPRA, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt. Japheth Simeo, amesema mamlaka hiyo imefanya kazi kubwa katika kudhibiti upotevu wa nafaka na mazao mchanganyiko. ‎ Amesema juhudi hizo zimeanza kuzaa matunda, lakini bado kuna umuhimu wa kuendelea kuwajengea uwezo wakulima kupitia elimu na utoaji wa taarifa sahihi kuhusu uhifadhi, usindikaji na masoko ya mazao yao. ‎ ‎Kwa Upande wake Paskalia Sitembela -AFISA Kilimo COPRA Kanda ya Kaskazini amesema katika mwaka wa fedha 2025/2026, COPRA inaendelea kutekeleza mpango wa usambazaji wa mbegu bora bure kwa wakulima, hatua inayolenga kupunguza changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa mbegu bora na kuongeza uzalishaji wenye tija. Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya @crowntvtz @crownfmtz na sikiliza 92.1 Mhz au Redio Box/ Garden na kutufuatilia live YOUTUBE channel ya CROWN MEDIA na CROWN TV Chaneli 415 Kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) #CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele ‎ ‎

FOLLOW US
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Z
63

FOLLOW US Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Zana Endelevu za Kilimo barani Afrika ujulikanao kama “Africa Sustainable Agricultural Mechanization”, utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Februari 3 hadi 6, 2026. Mkutano huo utaenda sambamba na uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Zana za Kilimo Awamu ya Pili, ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. Akizungumzia mkutano huo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila, amesema mkutano huo unafanyika kwa ushirikiano kati ya Wizara ya Kilimo ya Tanzania na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO). Amesema mkutano huo utatoa fursa ya kubadilishana uzoefu, kuimarisha ushirikiano na kuharakisha juhudi za matumizi ya zana za kilimo kwa ajili ya mageuzi endelevu ya kilimo nchini Tanzania na barani Afrika kwa jumla. Aidha, RC Chalamila ameongeza kuwa kupitia mkutano huo, Waziri Mkuu anatarajiwa kuzindua Mkakati wa Taifa wa Zana za Kilimo Awamu ya Pili, ambao utakuwa muongozo mkuu wa kuongeza tija nchini kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa za kilimo. Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na Mawaziri wa Kilimo kutoka nchi mbalimbali za Afrika pamoja na wadau wa sekta ya kilimo, ikiwa ni miongoni mwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha sekta ya kilimo kwa masilahi mapana ya umma. @harmonize_tz @mama_amina45 @dogo.paten @g_graphix1944 @judy.shinzi @jayz_mchina @one_planfocus #tanzania #daressalaam #kenya #africa #zanzibar #arusha #diamondplatnumz #dodoma #mwanza #uganda #wasafi #kilimanjaro #travel #wcb #safari #millardayoupdates #mbeya #love #wasafimedia #rwanda #harmonize #fashion #morogoro #wasafitv #wemasepetu #life #nairobi #eastafrica #simba #serengeti@njokilinyo

Top Creators

Most active in #kongo-tv

Semantic Clustering

Reels Graph Intelligence.

Advanced mapping of high-affinity Instagram Reels semantic patterns identified within the #kongo-tv ecosystem.

Strategic Implementation

Our semantic engine has identified these specific pattern clusters as high-affinity matches for #kongo-tv. Integrated usage of #kongo-tv with strategic Reels tags like #kongo and #kongos is statistically linked to a significant increase in initial Reels discovery velocity.

In-Depth Hashtag Analysis: #kongo-tv

Expert Review • June 5, 2026 • Based on 12 Reels

Executive Overview

#kongo-tv is an actively used Instagram hashtag. Across the 12 trending reels analyzed on this page, the content has accumulated a combined total of 24,479 views— demonstrating healthy engagement activity within this content vertical. The top creator ecosystem features 8 notable accounts, led by @7sevenmediatz with 6,592 total views. The hashtag's semantic network includes 2 related keywords such as #kongo, #kongos, indicating its position within a broader content cluster.

Avg. Views / Reel
2,040
24,479 total
Viral Ceiling
6,592
Best Performing Reel
Unique Creators
8
12 reels analyzed

Viewership & Reach Analysis

The 12 reels in this dataset have generated a combined 24,479 views, translating to an average of 2,040 views per reel. This viewership level reflects a more community-focused reach, where content primarily circulates within a dedicated audience group.

Top Performing Reel

The highest-performing reel in this dataset received 6,592 views. This viral outlier performance is 323% of the average reel performance in this set. This significant gap between the top performer and the average highlights the "viral lottery" nature of this hashtag — breakout hits can achieve massive scale.

Content Overview & Top Creators

The #kongo-tv ecosystem is dominated by short-form video content (Reels), aligning with Instagram's algorithmic preference for video-first distribution. There are 8 distinct accounts contributing to the trending feed. The top creator, @7sevenmediatz, has contributed 1 reel with a total viewership of 6,592. The top three creators — @7sevenmediatz, @globaltvonline, and @jambo_online_tv — together account for 67.8% of the total views in this dataset. The semantic network of #kongo-tv extends across 2 related hashtags, including #kongo, #kongos. Creators often use these tags together to reach overlapping audiences.

Discoverability & Reach Potential

The discoverability metrics for #kongo-tv indicate an active content ecosystem. The average of 2,040 views per reel demonstrates consistent audience reach. For creators using #kongo-tv, authentic, niche-specific content that adds real value tends to perform well.

Analyst Verdict

#kongo-tv demonstrates the hallmarks of a steadily growing Instagram hashtag. With an average of 2,040 views per reel, the viewership metrics position this hashtag as a growing content category. Creators like @7sevenmediatz and @globaltvonline are leading the charge, setting viewership benchmarks for the community.

Frequently Asked Questions

Everything about #kongo-tv on Instagram

Frequently Asked Questions

How popular is the #kongo tv hashtag?

Currently, #kongo tv has over — public posts on Instagram. It is a highly active community focus area for creators and brands.

Can I download reels from #kongo tv anonymously?

Yes, Pikory allows you to view and download public reels tagged with #kongo tv without an account and without notifying the content creators.

What are the most related tags to #kongo tv?

Based on our semantic analysis, tags like #kongo, #kongos are frequently used alongside #kongo tv.
#kongo tv Instagram Discovery & Analytics 2026 | Pikory