Experience full platform power on your desktop or through our specialized discovery engine.

v2.5 StablePikory 2026
Discovery Intelligence

#Lissu

Total Volume
7.4KLive
Discovery Velocity
Viral
Initial Sampling
12 Items
Hashtag StatsBased on recent activity
Total Posts
7.4K
Avg. Views
142,939
Best Performing Reel View
1,396,925 Views
Analyzed Creators
11
Performance Context
Initial Batch12 reels analyzed

Trending Feed

12 posts loaded

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEM
1,396,925

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameahirishiwa shauri lake baada ya kuieleza mahakama kuwa hajala. Wafuasi wake waliokuwa wamehudhuria mahakamani walishindwa kujizuia na kuangua kilio mara tu waliposikia kauli hiyo. Kutokana na hali hiyo, Jaji alilazimika kuahirisha kesi hadi kesho saa tatu asubuhi, ambapo shahidi wa pili anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake. - - #bbcswahili #siasa #lissu #chadema #mahakamani

Mwanasheria mkuu wa Chadema akizungumza na wanahabari mahaka
660

Mwanasheria mkuu wa Chadema akizungumza na wanahabari mahakamani leo Sisi tupo na wewe kila saa ili usipitwe na chochote kutoka kwetu tafadhari hakikisha unai follow account hii @habarimakinitv_ #viral #trendingreels #tanzania #lissu #trending

#lissu #tundulissu #tanzaniampya
3,579

#lissu #tundulissu #tanzaniampya

WENGI WALIHOJI MBOWE AMESIMAMA UPANDE GANI, ISHU HAPA SIO VY
329

WENGI WALIHOJI MBOWE AMESIMAMA UPANDE GANI, ISHU HAPA SIO VYAMA, ISHU NI NCHI YETU,HAWA VIONGOZI SIO WAKOROFI, WANALAZIMISHWA KUWA WAKOROFI - FREEMAN MBOWE Leo kwenye mazishi ya mzee mtei #mzeemtei #chadema #tanzania #mbowe #lissu

Kuna kila dalili za kuonesha kwamba uchaguzi ujao (nchini Ta
294,003

Kuna kila dalili za kuonesha kwamba uchaguzi ujao (nchini Tanzania) huu wa mwezi wa 11 na uchaguzi mkuu ujao hautakuwa uchaguzi huru wa haki na wala ulio wa halali'' - Mwandishi wa BBC @mubalileonard amefanya mahojiano na makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema ,Tundu Lissu. - Hiki ni kionjo tu, tembelea ukurasa wetu wa BBCSwahili kwenye YouTube kwa mahojiano kamili - - #siasa #chadema #lissu #tanzania #uchaguzi

#HABARI Mwanamitandao maarufu ambaye pia ni raia wa kigeni m
3,491

#HABARI Mwanamitandao maarufu ambaye pia ni raia wa kigeni maarufu kwa jina la Bongozozo, ametoa mtazamo wake kuhusu Sakata la kushikiliwa kwa kiongozi Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), Tundu Lissu, kuwa atakapoachiwa huru na kuingia kwenye maridhiano na Serikali iliyopo madarakani itasaidia kuponya majeraha ya watanzania waliyoyapata wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv #lissu #chadema

‎#HABARI  Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (C
438

‎#HABARI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini. ‎ Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo jana Jumanne, Oktoba 11, 2025, muda mfupi baada ya kuripoti katika kituo cha polisi jijini Dar es Salaam na kusisitiza kuwa maandalizi ya kikao hicho yataanza mara moja. "Chama chetu kimeamua kuitisha kikao cha Kamati Kuu haraka iwezekanavyo. Tutajadili kwa kina nini kimetokea na hatua gani tuchukue kwa upande wetu," amesema Heche. Follow Smart tv habari #kamatikuuchadema #UchaguziMkuu #Heche #Lissu

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amepinga utaratibu wa sha
310

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amepinga utaratibu wa shahidi wanne wa Upande wa Jamhuri kutoa ushahidi akiwa ndani ya kiboksi maalumu katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam. Lissu alidai kuwa shahidi huyo anatakiwa kusimama kwenye kizimba cha kawaida kama inavyoelekezwa na sheria, na siyo kujificha katika kifaa kisichoonekana na mahakama, huku ikisikika sauti yake tu. “Hicho kiboksi siyo kizimba cha kisheria. Huyo shahidi haonekani hata kwa majaji,” alisema Lissu. Kesi hiyo ilipangwa leo mbele ya Jopo la Majaji watatu akiwemo Jaji Dunstan Ndunguru kwa ajili ya kuendelea na ushahidi. Aidha, alieleza kuwa amri ya ulinzi wa mashahidi iliyotolewa Julai 2025 haikutoa ruhusa ya kutumia kiboksi hicho, na kwamba kanuni mpya za ulinzi wa mashahidi haziwezi kutumika kwa kesi iliyoanza kabla ya kutungwa kwake. Kwa upande wa Jamhuri, Wakili wa Serikali Mkuu Nassoro Katuga aliomba kuahirishwa kwa shauri hilo ili kupata muda wa kujibu hoja za Lissu, akisema hoja hizo ni nyingi na zinahitaji uchambuzi wa kina. Mahakama imeahirisha usikilizwaji wa kesi hiyo hadi tarehe itakayopangwa na Msajili kwa ajili ya kuendelea na hoja za pande zote. . . . #winnersamiakalamuawards2025 #radioborayajamiiTzbara #2025tumekuchagua #dodomatv #dodomafm #chilihamonga #ipokwaajiliyako #hqmiyujiproper #lissu #kesiyalissu #mahakamanileo

Kila mtu mwenye akili anajua Lissu 🦁 anaonewa. Ila atashind
2,103

Kila mtu mwenye akili anajua Lissu 🦁 anaonewa. Ila atashinda tu. #Lissu #tanzania #haki

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu A. Lissu, amewasilisha ma
7,363

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu A. Lissu, amewasilisha maombi Mahakama Kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kama mdaiwa katika shauri namba 8323/2025, ambalo awali liliwasilishwa na Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa CHADEMA. Shauri hilo ambalo limekuwa likijulikana kama "kesi ya Wazanzibari" kutokana na kufunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama upande wa Zanzibar ndilo lililosababisha zuio la Mahakama dhidi ya CHADEMA kufanya shughuli za siasa na kutumia rasilimali za chama, uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga. Maombi ya Lissu tayari yamshasajiliwa mahakamani, na hatua inayosubiriwa kwa sasa ni kuitwa kwa wajibu maombi (summons) kabla ya kuanza kwa taratibu rasmi za kusikiliza maombi hayo. . . . #dollywoodtv #dollywoodupdates #foryoupage #fyp #trending #lissu #heche #chadema #uhaini

Naibu katibu mkuu wa chama cha chadema bara Amani golokwa am
3,492

Naibu katibu mkuu wa chama cha chadema bara Amani golokwa amezungumza na waandishi wa habari alipokua msibani kwa marehemu edwin Mtei na kusema kwamba lisu katuma salamu za ujumbe utakaosomwa siku ya mazishi 🤔 #Lissu #hnonlinetv #facebookreelsviral #fypageシ #chadema

Tatizo kubwa katika Nchi yetu ya Tanzania ni udini
=
KHIDMA_
2,579

Tatizo kubwa katika Nchi yetu ya Tanzania ni udini = KHIDMA_TV kwa kushirikiana na Taasisi za ibada ya Hijja tunakuletea ibada ya Umrah mwezi wa 12 kwa gharama ya Dola 1900 Hotel Utakazofikia Zipo Karibu na Msikiti wa Madina na Msikiti Mtukufu wa Makkah Taasisi yetu inakuweka karibu na misikiti hiyo ili utapte urahisi wa muda wowote kwenda kufanya ibada wasiliana nasi kwa namba 0752 950 350 gharama ya Ibada ya Hijja ni Dola 6800 Karibuni kwa Huduma Bora. #KhidmaTV #kanisakatoliki #watuwahaki #drsilaa #sensa #bandari #AmaniNaHaki #udini #waislamu #wahadhiliwakiislamu #wakatoliki #matamko #wahadhili #kenya #Viongozi #bunge #kadinalipengo #GWAJIMA #mboye #Lissu

Top Creators

Most active in #lissu

Semantic Clustering

Reels Graph Intelligence.

Advanced mapping of high-affinity Instagram Reels semantic patterns identified within the #lissu ecosystem.

Strategic Implementation

Our semantic engine has identified these specific pattern clusters as high-affinity matches for #lissu. Integrated usage of #lissu with strategic Reels tags like #kesi ya lissu and #kesi ya tundu lissu leo is statistically linked to a significant increase in initial Reels discovery velocity.

In-Depth Hashtag Analysis: #lissu

Expert Review • June 5, 2026 • Based on 12 Reels

Executive Overview

#lissu is an actively used Instagram hashtag. Across the 12 trending reels analyzed on this page, the content has accumulated a combined total of 1,715,272 views— demonstrating strong content velocity within this content vertical. The top creator ecosystem features 8 notable accounts, led by @bbcswahili with 1,690,928 total views. The hashtag's semantic network includes 20 related keywords such as #kesi ya lissu, #kesi ya tundu lissu leo, #kesi ya lissu leo, indicating its position within a broader content cluster.

Avg. Views / Reel
142,939
1,715,272 total
Viral Ceiling
1,396,925
Best Performing Reel
Unique Creators
8
12 reels analyzed

Viewership & Reach Analysis

The 12 reels in this dataset have generated a combined 1,715,272 views, translating to an average of 142,939 views per reel. This strong average viewership suggests healthy algorithmic distribution. Reels using this hashtag are reliably reaching audiences interested in this niche.

Top Performing Reel

The highest-performing reel in this dataset received 1,396,925 views. This viral outlier performance is 977% of the average reel performance in this set. This significant gap between the top performer and the average highlights the "viral lottery" nature of this hashtag — breakout hits can achieve massive scale.

Content Overview & Top Creators

The #lissu ecosystem is dominated by short-form video content (Reels), aligning with Instagram's algorithmic preference for video-first distribution. There are 8 distinct accounts contributing to the trending feed. The top creator, @bbcswahili, has contributed 2 reels with a total viewership of 1,690,928. The top three creators — @bbcswahili, @dollywood_tv, and @vensa_temu — together account for 99.2% of the total views in this dataset. The semantic network of #lissu extends across 20 related hashtags, including #kesi ya lissu, #kesi ya tundu lissu leo, #kesi ya lissu leo, #lissu leo. Creators often use these tags together to reach overlapping audiences.

Discoverability & Reach Potential

The discoverability metrics for #lissu indicate an active content ecosystem. The average of 142,939 views per reel demonstrates consistent audience reach. For creators using #lissu, posting consistently with trending audio and relevant angles will help you get noticed.

Analyst Verdict

#lissu demonstrates the hallmarks of a steadily growing Instagram hashtag. With an average of 142,939 views per reel, the viewership metrics position this hashtag as a reliable reach driver. Creators like @bbcswahili and @dollywood_tv are leading the charge, setting viewership benchmarks for the community.

Frequently Asked Questions

Everything about #lissu on Instagram

Frequently Asked Questions

How popular is the #lissu hashtag?

Currently, #lissu has over 7.4K public posts on Instagram. It is a highly active community focus area for creators and brands.

Can I download reels from #lissu anonymously?

Yes, Pikory allows you to view and download public reels tagged with #lissu without an account and without notifying the content creators.

What are the most related tags to #lissu?

Based on our semantic analysis, tags like #kesi ya lissu leo, #kesi ya tundu lissu imefikia wapi, #lissu leo are frequently used alongside #lissu.
#lissu Instagram Discovery & Analytics 2026 | Pikory