#Simbasc
Trending Feed
12 posts loaded

🤔 MASWALI YA MPIRA YANAYOCHOCHEA MOTO 🔥 Kwanini mshambuliaji wa Simba SC, @selemani_gomez, hakumruhusu Djigui Diarra kuugusa mpira kabla ya penati kupigwa? 👀 Kwa wakongwe wa mechi kubwa kama hizi… hii ina tafsiri kubwa sana! 😏 👉 Ni mchezo wa akili (mind games) — kumuweka kipa kwenye presha mapema 👉 Kuondoa “confidence ritual” ya kipa kugusa mpira kabla ya penati 👉 Kuonyesha dominance — “hii ni moment yangu” 💥 👉 Kumvuruga kipa ili apoteze utulivu na mwelekeo Hizi ni zile details ndogo zinazobeba matokeo makubwa! ⚽🔥 Mechi kubwa si nguvu tu… ni vita ya akili pia 🧠💣 #harvestdigital #DabiYaKariakoo #SimbaSC #YangaSC #FootballMindGames

Nyota wa Simba SC, Mohamed Bajaber alipata dakika 45' za kucheza kwenye mchezo wa kirafiki ambao timu ya taifa ya Kenya ilipata ushindi wa goli 3-0 dhidi ya timu ya taifa ya Grenada. Ni wazi kuwa Star Boy Bajaber yupo fiti kuendelea kuwatumikia Wanasimba. #ligizetu #simbasc #Kenya #ligikuu #simbasctanzania

Chama Aliona Isiwe Tabu Akamuomba Ushauri Kapombe . FOLLOW: @bongofasta_ . . . #nbcpl #yangasc #simbasc #tanzanianfootball #bongofasta

Kama ulipitwa... HILI NDIO BAO LA WANANCHI DHIDI YA AZAM FC HII LEO! ⚽Dubeee.. Wananiitaga MJUMBE, na MJUMBE hauwawi 🗣️📢 . Follow: @musamkwaju . #michezo #daimambelenyumamwiko #simbasc #yangasc #azamfc

Kijana wa maajabu sehemu ya kulia anacheka kweli?? #afrosate #tanzania #sports #football #simbasc

HATIMAE NDOA YA KLABU YA YANGA NA MWALIMU PEDRO IMEFIKA TAMATI Kocha kama alijuwa kuja uwanjani na mabegi yake yote #millardayo #simbasc #nguvumoja #youtube #nbcpremierleague

SIMBA WACHEZAJI WENU HAWATOBOI KIKOSI CHA KWANZA PALE DODOMA 🤣🤣!! Semaji la Dodoma FC @mosempunga limesema kesho Simba wajiandae kupata mechi ngumu kwa sababu wao wana watu . Nani atamuweka benchi William Edgar pale Simba SC ndugu zangu??? #simbasc #NguvuMoja #ligikuutanzaniabara #mpekeo_mtandala

Kwahiyo Kibabage kumbe alisema ukweli wa moyoni haikuwa kupaka mafuta watu kwa mgongo wa chupa. #simbasc

Leo tunakumbuka kwa heshima na upendo mkubwa Patrick Mafisango, mmoja wa wachezaji bora wa soka kutoka Afrika Mashariki 🇷🇼 Rwanda. Patrick alitambulika kwa ujuzi wake uwanjani, moyo wa kujitolea, na mchango mkubwa kwa timu zake na taifa lake. Simba SC – Hapa ndiye alipoacha alama isiyofutika, akisaidia kushinda Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2011/2012. •kiungo muhimu wa Rwanda national football team (Amavubi). • Alicheza michezo 23 ya kimataifa, akifunga mabao 2, akisaidia taifa lake katika mashindano ya kimataifa. Mtindo wa Uchezaji • Shuti kali na pasi sahihi • Kuongoza timu uwanjani Video hii au kumbukumbu hii imetengenezwa kwa lengo la kutoa heshima stahiki kwa mchango na kazi alizozifanya. Haina nia ya kupotosha, kubeza, au kuleta tafsiri isiyo sahihi, bali ni kuonesha thamani ya juhudi zake na athari chanya aliyoiacha kwa jamii. Kwa kumbukumbu kama hii kwa mpendwa wako, unaweza kuwasiliana nasi kwa huduma ya ubora, heshima, na upendo. Kwa mahitaji ya kumbukumbu kama hii kwa mpendwa wako, karibu inbox kwa gharama nafuu. Tunakuhudumia kwa upendo, heshima na ubora wa hali ya juu. #mafisango #simbasc #rip #storyzaleo

Kipimo halisi cha ukubwa huo ni tarehe 01/03/2026 Sio kwa matokeo bali performance ya mchezaji mmoja mmoja. #simbasc

chezaji la buku 😂 #viral #reelsinstagram #explorepage #tanzania #kalesastar #bongotrendings #simbasc #simbasctanzania
Top Creators
Most active in #simbasc
Reels Graph Intelligence.
Advanced mapping of high-affinity Instagram Reels semantic patterns identified within the #simbasc ecosystem.
Awaiting Network Expansion
Strategic Implementation
Our semantic engine has identified these specific pattern clusters as high-affinity matches for #simbasc. Integrated usage of #simbasc with strategic Reels tags like #related and #discovery is statistically linked to a significant increase in initial Reels discovery velocity.
In-Depth Hashtag Analysis: #simbasc
Expert Review • June 4, 2026 • Based on 12 Reels
Executive Overview
#simbasc is an actively used Instagram hashtag. Across the 12 trending reels analyzed on this page, the content has accumulated a combined total of 2,474,397 views— demonstrating strong content velocity within this content vertical. The top creator ecosystem features 8 notable accounts, led by @peterlugendo16 with 509,705 total views.
Viewership & Reach Analysis
The 12 reels in this dataset have generated a combined 2,474,397 views, translating to an average of 206,200 views per reel. This strong average viewership suggests healthy algorithmic distribution. Reels using this hashtag are reliably reaching audiences interested in this niche.
The highest-performing reel in this dataset received 455,015 views. This viral outlier performance is 221% of the average reel performance in this set. This significant gap between the top performer and the average highlights the "viral lottery" nature of this hashtag — breakout hits can achieve massive scale.
Content Overview & Top Creators
The #simbasc ecosystem is dominated by short-form video content (Reels), aligning with Instagram's algorithmic preference for video-first distribution. There are 8 distinct accounts contributing to the trending feed. The top creator, @peterlugendo16, has contributed 2 reels with a total viewership of 509,705. The top three creators — @peterlugendo16, @kisamedia_tz, and @micaih_barnabas — together account for 50.9% of the total views in this dataset.
Discoverability & Reach Potential
The discoverability metrics for #simbasc indicate an active content ecosystem. The average of 206,200 views per reel demonstrates consistent audience reach. For creators using #simbasc, posting consistently with trending audio and relevant angles will help you get noticed.
Analyst Verdict
#simbasc demonstrates the hallmarks of a steadily growing Instagram hashtag. With an average of 206,200 views per reel, the viewership metrics position this hashtag as a reliable reach driver. Creators like @peterlugendo16 and @kisamedia_tz are leading the charge, setting viewership benchmarks for the community.
Frequently Asked Questions
Everything about #simbasc on Instagram
Global Reels Trends
Explore high-velocity Instagram Reels hashtags currently shaping global discovery.











