Trending Feed
12 posts loaded

Furaha ya wanazi #Blue star luxury ✨️ *Dar to Tarime* *Dar to SUMBAWANGA kila siku unasubiri nn ??*

Ndugu wana tarime Huyu binti kaondoka nyumbn kwao Toka jumapili asubuh ni mkazi wa #Itiryo hajulikani alipo kwa atakayemuona #0622553844 NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari zinapopostiwa ::: #tanzania#followme#trendingtiktokeplusmedia

ROAD LIFE 🛣️ SATCO EXPRESS DODOMA MWANZA DODOMA TARIME #southafrica #england🇬🇧 #germany🇩🇪 #everyone #tanzania

Video kwa hisani ya mteja wetu alichukua video ya serengeti beach banda alipokua na familia yake….. #Tunamshukuru sana kwa uwepo wake Asante sana karibu Tena Farm Eco #mwanza #tarime #missmwanza #mchauruvillage

Jeshi la Polisi mkoani Tarime linamshikilia mwanaume mmoja aitwaye Nelsoni Paschal Kamugisha (37), mkazi wa mtaa wa Kinyambi, kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 9 kwa kumchoma moto mikono yote miwili kwa kutumia jiko la gesi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Tarime, tukio hilo linadaiwa kutokea baada ya mtoto huyo kutuhumiwa kuiba fedha kiasi cha shilingi elfu tano (5,000/=). Inadaiwa kuwa mtuhumiwa alichukua hatua hiyo kali kama adhabu, kitendo ambacho kimeelezwa kuwa ni ukatili mkubwa dhidi ya mtoto. Jeshi la Polisi limeeleza kuwa mara baada ya tukio hilo, hatua za haraka zilichukuliwa na mtuhumiwa alikamatwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Aidha, mtoto aliyejeruhiwa amepelekwa katika kituo cha afya kwa ajili ya matibabu, huku hali yake ikiendelea kufuatiliwa na mamlaka husika. Kamanda wa Polisi amesisitiza kuwa upelelezi wa shauri hilo unaendelea kukamilishwa ili mtuhumiwa aweze kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili. Ameonya kuwa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto havitavumiliwa na yeyote atakayebainika kufanya hivyo atachukuliwa hatua kali za kisheria. Tukio hili limeibua hisia kali miongoni mwa wananchi, wengi wakilaani kitendo hicho na kuwataka wazazi na walezi kutumia njia sahihi za malezi badala ya ukatili. Wadau wa haki za watoto wameendelea kusisitiza umuhimu wa kulinda na kuheshimu haki za watoto, wakikumbusha kuwa watoto wanahitaji malezi yenye upendo na ulinzi. Jeshi la Polisi limewahimiza wananchi kutoa taarifa kwa mamlaka pale wanaposhuhudia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto, ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa na kulinda ustawi wa jamii.#moudisetv #moudisetvupdates #millardayoupdates #tanzaniatiktok🇹🇿 #tarime

ROAD 🛣 LIFE ROAD 🛣 TRIP ....... ABOOD BUS SERVICE Dar Es Salaam | Tabora Dar Es Salaam | Bukoba Dar Es Salaam | Karagwe Dar Es Salaam | Tarime #HUSTLER #bus #road #roadtrip #tanzaniantiktok🇹🇿

✨ Jumba la Vipodozi Tarime | Cosmetics Supply House ✨ Tunauza vipodozi ORIGINAL kwa jumla & rejareja 💄🧴 ✔️ Skincare ✔️ Perfumes ✔️ Hair care ✔️ Beauty essentials 📦 Bidhaa zetu zinatoka South Africa • Dubai • Thailand • China 🚚 Delivery ipo nchi nzima 💯 Ubora wa bidhaa ni kipaumbele chetu 📍 Tarime – Kenyatta Road 📞 +255 755 891 937 💬 WhatsApp: +255 755 891 937 ✨ Anza au boresha biashara yako ya vipodozi ukiwa na supplier wa uhakika! #TarimeCosmetics #VipodoziOriginal #JumlaNaRejareja #CosmeticsSupplierTZ #BiasharaYaVipodozi

GUCCI JACKET kutoka Guangzhou inaenda kwa Mkurugenzi @soyachacha Tarime Mara. Cc @soya_one_limited Balozi @makobaisaya mzigo ufike huu😂 @jelas_tu

MWAISENYE, MWALUPINDI WAMCHANGIA MAMA MFUNGWE BAADA YA KUSTAAFU Katibu Tawala wa Wilaya ya Tarime, Sauli Mwaisenye, ameungana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Mbeya Mjini, Emmanuel Mwalupindi, kwa kuchangia kiasi cha shilingi laki tano kwa ajili ya kumsaidia aliyekuwa Katibu Muhtasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Magreth Mfungwe. Mchango huo umetolewa kama sehemu ya kumuunga mkono Mwalupindi katika jitihada zake za kuhakikisha Mama Mfungwe anapata msaada wa mahitaji muhimu kufuatia kustaafu kwake rasmi. Akizungumza wakati wa kukabidhi fedha hizo, Mwaisenye amesema kuwa katika kipindi chote cha utumishi wake, Mama Mfungwe alikuwa mtumishi mwenye kujituma, asiye na ubaguzi, na aliyewahudumia wananchi wote kwa usawa na heshima bila kujali hadhi zao. Aidha, ameeleza kuwa mchango huo ni ishara ya kuthamini utendaji wake mzuri pamoja na moyo wa kujitolea aliouonyesha kwa muda wote wa utumishi wake.
Top Creators
Most active in #tarime
Reels Graph Intelligence.
Advanced mapping of high-affinity Instagram Reels semantic patterns identified within the #tarime ecosystem.
Strategic Implementation
Our semantic engine has identified these specific pattern clusters as high-affinity matches for #tarime. Integrated usage of #tarime with strategic Reels tags like #kayseri tarım fuarı ne zaman 2026 and #tarım kredi kooperatifi yağ is statistically linked to a significant increase in initial Reels discovery velocity.
In-Depth Hashtag Analysis: #tarime
Expert Review • June 4, 2026 • Based on 12 Reels
Executive Overview
#tarime is an actively used Instagram hashtag. Across the 12 trending reels analyzed on this page, the content has accumulated a combined total of 127,449 views— demonstrating healthy engagement activity within this content vertical. The top creator ecosystem features 8 notable accounts, led by @moudisetv with 41,988 total views. The hashtag's semantic network includes 100 related keywords such as #kayseri tarım fuarı ne zaman 2026, #tarım kredi kooperatifi yağ, #cmg hotel tarime, indicating its position within a broader content cluster.
Viewership & Reach Analysis
The 12 reels in this dataset have generated a combined 127,449 views, translating to an average of 10,621 views per reel. This viewership level reflects a more community-focused reach, where content primarily circulates within a dedicated audience group.
The highest-performing reel in this dataset received 41,988 views. This viral outlier performance is 395% of the average reel performance in this set. This significant gap between the top performer and the average highlights the "viral lottery" nature of this hashtag — breakout hits can achieve massive scale.
Content Overview & Top Creators
The #tarime ecosystem is dominated by short-form video content (Reels), aligning with Instagram's algorithmic preference for video-first distribution. There are 8 distinct accounts contributing to the trending feed. The top creator, @moudisetv, has contributed 1 reel with a total viewership of 41,988. The top three creators — @moudisetv, @joellwaga, and @mrpoul_brand — together account for 74.2% of the total views in this dataset. The semantic network of #tarime extends across 100 related hashtags, including #kayseri tarım fuarı ne zaman 2026, #tarım kredi kooperatifi yağ, #cmg hotel tarime, #tarım bakanı açıklama. Creators often use these tags together to reach overlapping audiences.
Discoverability & Reach Potential
The discoverability metrics for #tarime indicate an active content ecosystem. The average of 10,621 views per reel demonstrates consistent audience reach. For creators using #tarime, authentic, niche-specific content that adds real value tends to perform well.
Analyst Verdict
#tarime demonstrates the hallmarks of a steadily growing Instagram hashtag. With an average of 10,621 views per reel, the viewership metrics position this hashtag as a growing content category. Creators like @moudisetv and @joellwaga are leading the charge, setting viewership benchmarks for the community.
Frequently Asked Questions
Everything about #tarime on Instagram
Global Reels Trends
Explore high-velocity Instagram Reels hashtags currently shaping global discovery.














