Experience full platform power on your desktop or through our specialized discovery engine.

v2.5 StablePikory 2026
Discovery Intelligence

#Urembo

Total Volume
902KLive
Discovery Velocity
Viral
Initial Sampling
12 Items
Hashtag StatsBased on recent activity
Total Posts
902K
Avg. Views
186,134
Best Performing Reel View
565,960 Views
Analyzed Creators
10
Performance Context
Initial Batch12 reels analyzed

Trending Feed

12 posts loaded

Mfanyabiashara wa vipodozi Jenipher Marwa maarufu kama Niphe
565,960

Mfanyabiashara wa vipodozi Jenipher Marwa maarufu kama Nipher Cosmetics (@nipher_cosmetics ), amefungua rasmi duka lake jipya la vipodozi litakalotoa huduma mbalimbali za urembo na utunzaji wa ngozi kwa Wananchi wa Jijini Dar es salaam huku uzinduzi huo ukihudhuriwa na wmWadau wa biashara pamoja na wapenzi wa bidhaa za urembo. Akizungumza na Ayo TV, Jenipher amesema duka hilo limekuja kuwa mkombozi kwa Watu wenye changamoto mbalimbali za ngozi kwa kuwapatia bidhaa bora, salama na zilizothibitishwa kwa matumizi ya Binadamu, huku akisisitiza kuwa bidhaa hizo zitauzwa kwa bei nafuu ili kuwapa nafasi Watu wengi kunufaika na huduma hizo. Aidha, Jenipher amesema duka hilo linapatikana Makumbusho Plaza ambapo Wateja watapata ushauri wa kitaalamu pamoja na huduma mbalimbali zinazohusiana na utunzaji wa ngozi na matumizi sahihi ya vipodozi huku akiahidi kuendelea kutoa huduma bora kwa Wateja wake. #MillardAyoUPDATES

Wasikuongopee Vikuku ni urembo km urembo mwinginge wahi kiku
105,660

Wasikuongopee Vikuku ni urembo km urembo mwinginge wahi kikuku chako Viwili Tshs 10,000 Tu Tunadelivery 0719646705

✨🌙 OFA MAALUM YA RAMADHANI – PUNGUZO LA 30% KWA BIDHAA ZOTE
64,603

✨🌙 OFA MAALUM YA RAMADHANI – PUNGUZO LA 30% KWA BIDHAA ZOTE NA HUDUMA ZOTE ZA SPA! 🌙✨ Msimu huu mtukufu wa Ramadhani, @thespa_bylili tunakuletea zawadi ya kipekee kwa ajili yako mteja wetu wa thamani 💛 Furahia PUNGUZO LA 30% kwa: 🌸 Bidhaa zote za urembo na ngozi (original na za kifahari) 🌸 Huduma zote za Spa – facial, waxing , pedicure & manicure Ramadhani ni wakati wa kujisitiri, kujitunza na kujipenda zaidi. Ni muda wa kuipa ngozi yako mwanga, mwili wako utulivu, na nafsi yako furaha. Usikose nafasi hii ya kujiremba kwa bei nafuu lakini kwa ubora wa hali ya juu. Kwa nini utumie bidhaa za kawaida wakati unaweza kupata bidhaa original, za kifahari na zenye matokeo ya kuvutia kutoka @thespa_bylili? Hii siyo tu ofa… ni fursa ya kung’ara kwa gharama nafuu. Mwambie rafiki amwambie rafiki 📣 Ramadhani hii, sote tunakutana @thespa_bylili — nyumbani kwa bidhaa za kifahari na huduma zenye mvuto wa kipekee. ⏳ Ofaa hii inadumu hadi mwisho wa Ramadhani. Usisubiri hadi iishe! ✨ KAULI MBIU YETU: “The Spa by Lili – Mahali ambapo Urembo, Ubora na Kujipenda Hukutana.” ✨ Wahi kuweka nafasi au kuagiza sasa: 📞 0768937297 Ramadhani hii… tunang’ara kwa neema, tunajipenda kwa vitendo. 💫

RESTY AZINDUA BIDHAA 2 MPYA ZA UREMBO!
Mfanyabiashara @resty
197,359

RESTY AZINDUA BIDHAA 2 MPYA ZA UREMBO! Mfanyabiashara @restybura_ ametambulisha bidhaa zake moya za ngozi, Vitamin C Hyaluronic Acid na Salicylic Acid. Bidhaa hizo zitakuwa zikipatikana katika Duka lake linalopatikana Sinza Kwa Remmy, Dar es salaam huku akitoa fursa za Ajira kwa mawakala mikoa yote ya Tanzania. #LavistaProducts #MchezoUmebadilika

Karibu tukupendezeshe na accessories nzuri uzidi kuongeza ur
38,651

Karibu tukupendezeshe na accessories nzuri uzidi kuongeza urembo wako zaidi 👌 Tunauza jumla na rejareja Tunapatikana Sinza Africasana/Namba zetu za sim 0719646705

Sekta ya Urembo na Vipodozi Nchini Tanzania imezidi kupanuka
136,894

Sekta ya Urembo na Vipodozi Nchini Tanzania imezidi kupanuka baada ya chapa maarufu duniani kutoka Italia KIKO Milano (@kikomilanoafrica ), kufungua Tawi lake la kwanza Jijini Dar es salaam ndani ya Jengo la Dar Village Mall. Ujio wa KIKO Milano umetajwa kuwa ni mwitikio wa mahitaji makubwa ya watumiaji wanaotafuta bidhaa salama na zenye viwango bora ambapo Kampuni hiyo imechagua Tanzania kama moja ya maeneo ya kupanua uwekezaji wake Barani Afrika ikilenga kuwafikia Wateja wengi zaidi. KIKO Milano iliyoanzishwa mwaka 1997 Jijini Milan imeanza rasmi shughuli zake Nchini kwa kuleta bidhaa mbalimbali ikiwemo Vipodozi vya uso, macho na midomo pamoja na bidhaa za utunzaji wa Ngozi hatua inayotarajiwa kuongeza ushindani katika sekta hiyo. “Lengo letu ni kumpa Mwanamke wa Kitanzania bidhaa zenye viwango vya kimataifa lakini kwa bei inayofikika, bidhaa zetu hazijaribiwi kwa Wanyama na zimefanyiwa utafiti wa kina ili kuhakikisha usalama wa mtumiaji bila kujali aina ya Ngozi yake” amesema Dina Habbab. #MillardAyoUPDATES.

✅✅: KWA MAHITAJI YA VITU VYA UREMBO FOLLOW PAGE YETU HII @ki
36,439

✅✅: KWA MAHITAJI YA VITU VYA UREMBO FOLLOW PAGE YETU HII @kitwizy_ladies_trendzone ✅✅: #accessories #dodomacity #iphone #viralpost #dodomatanzania🇹🇿

Boss wewe ndio haupo Sawa Over 🤣!

Leo wateja mjipange mkij
35,993

Boss wewe ndio haupo Sawa Over 🤣! Leo wateja mjipange mkija receptionist hayupo 🤣🤣mambo ndio kama hivi 🤣🤣🤣 Anyways kuona huduma zetu bonyeza link kwenye bio hapo juu ! 📞0765740142 📍Kigamboni maweni big stone #hairdressing #richlifestyle #kusukastich #urembo #kusukastich

Fahyvanny leo amevaa nguo karibia 4 ray anaileile anapenda u
86,272

Fahyvanny leo amevaa nguo karibia 4 ray anaileile anapenda urembo dada fahy jamani

Look what @luminaskintz can do 😄😍

RASMI nimejiunga na fam
459,676

Look what @luminaskintz can do 😄😍 RASMI nimejiunga na familia yangu mpya ya bidhaa za urembo @luminaskintz 🥰 sijawahi kabisa kuwa na familia ya aina hii tangu kuwa maarufu,na mpaka kukubali kujiunga nao ni kweli nimejihakikishia ubora,utendani na usalama wa products hizi za LUMINA,na kiukweli ningependa kila msichana,mwanadada au mwanamke anayejipenda na anayetaka kujiboresha zaidi kuweza kufikiwa. LUMINA SKIN…BETTER VERSION OF YOURSELF (wewe uliye bora)HATUKUBALISHI TUNAKUFANYA KUWA BORA ZAIDI NA ZAIDI. 📌

Je, marashi ni salama kwa ngozi?

Katika makala ya wiki hii
909

Je, marashi ni salama kwa ngozi? Katika makala ya wiki hii ya ulimbwende, tunaangazia matumizi sahihi ya marashi, bidhaa zinazotumiwa sana kwa ajili ya urembo na harufu nzuri. Lakini je, kila kinachonukia vizuri ni salama kwa ngozi? #NTVWikendi

Kila kukicha, dunia inatamba na mitindo mipya, na sasa Rwand
505,190

Kila kukicha, dunia inatamba na mitindo mipya, na sasa Rwanda imepata urembo wa aina yake, wasichana wanabadilisha rangi za fizi zao kuwa nyeusi kupitia tatoo. - Kwa wengi, hii ni alama ya uzuri na kujiamini, na mwelekeo huu unakua kwa kasi miongoni mwa wanawake vijana. @martha_saranga anatusimulia hadithi iliyoandaliwa na mwandishi wetu @annemwiza wa idhaa ya BBC Gahuza - - #bbcswahili #urembo #tatoo #rwanda

Top Creators

Most active in #urembo

Semantic Clustering

Reels Graph Intelligence.

Advanced mapping of high-affinity Instagram Reels semantic patterns identified within the #urembo ecosystem.

Strategic Implementation

Our semantic engine has identified these specific pattern clusters as high-affinity matches for #urembo. Integrated usage of #urembo with strategic Reels tags like #urembo tz and #urembo wa nyumba is statistically linked to a significant increase in initial Reels discovery velocity.

In-Depth Hashtag Analysis: #urembo

Expert Review • June 5, 2026 • Based on 12 Reels

Executive Overview

#urembo is an actively used Instagram hashtag. Across the 12 trending reels analyzed on this page, the content has accumulated a combined total of 2,233,606 views— demonstrating strong content velocity within this content vertical. The top creator ecosystem features 8 notable accounts, led by @millardayo with 702,854 total views. The hashtag's semantic network includes 100 related keywords such as #urembo tz, #urembo wa nyumba, #taa za urembo, indicating its position within a broader content cluster.

Avg. Views / Reel
186,134
2,233,606 total
Viral Ceiling
565,960
Best Performing Reel
Unique Creators
8
12 reels analyzed

Viewership & Reach Analysis

The 12 reels in this dataset have generated a combined 2,233,606 views, translating to an average of 186,134 views per reel. This strong average viewership suggests healthy algorithmic distribution. Reels using this hashtag are reliably reaching audiences interested in this niche.

Top Performing Reel

The highest-performing reel in this dataset received 565,960 views. This viral outlier performance is 304% of the average reel performance in this set. This significant gap between the top performer and the average highlights the "viral lottery" nature of this hashtag — breakout hits can achieve massive scale.

Content Overview & Top Creators

The #urembo ecosystem is dominated by short-form video content (Reels), aligning with Instagram's algorithmic preference for video-first distribution. There are 8 distinct accounts contributing to the trending feed. The top creator, @millardayo, has contributed 2 reels with a total viewership of 702,854. The top three creators — @millardayo, @bbcswahili, and @elizabethmichaelofficial — together account for 74.7% of the total views in this dataset. The semantic network of #urembo extends across 100 related hashtags, including #urembo tz, #urembo wa nyumba, #taa za urembo, #chuo cha urembo. Creators often use these tags together to reach overlapping audiences.

Discoverability & Reach Potential

The discoverability metrics for #urembo indicate an active content ecosystem. The average of 186,134 views per reel demonstrates consistent audience reach. For creators using #urembo, posting consistently with trending audio and relevant angles will help you get noticed.

Analyst Verdict

#urembo demonstrates the hallmarks of a steadily growing Instagram hashtag. With an average of 186,134 views per reel, the viewership metrics position this hashtag as a reliable reach driver. Creators like @millardayo and @bbcswahili are leading the charge, setting viewership benchmarks for the community.

Frequently Asked Questions

Everything about #urembo on Instagram

Frequently Asked Questions

How popular is the #urembo hashtag?

Currently, #urembo has over 902K public posts on Instagram. It is a highly active community focus area for creators and brands.

Can I download reels from #urembo anonymously?

Yes, Pikory allows you to view and download public reels tagged with #urembo without an account and without notifying the content creators.

What are the most related tags to #urembo?

Based on our semantic analysis, tags like #kona nje urembo wa nyumba, #urembo tanzania, #urembo wa nyumba kwa ndani are frequently used alongside #urembo.
#urembo Instagram Discovery & Analytics 2026 | Pikory